▶
#JuaDeniLako | Unajua serikali inaingiaje kwa deni? Na kwa nini sauti yako ni muhimu?
Je, umewahi kujiuliza jinsi deni la umma nchini Kenya huibuka na jinsi unaweza kuchangia?
Jiunge nasi tukichambua hatua nne kuu za bajeti na jinsi wananchi wanaweza kujihusisha na kuchangia katika maswala ya bajeti.
